Kolonia Santita
Laana YA Panthera Tigrisi
'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika,…
Mehr
CHF 56.50
Preise inkl. MwSt. und Versandkosten (Portofrei ab CHF 40.00)
V104:
Folgt in ca. 10 Arbeitstagen
Produktdetails
- ISBN: 978-1-4772-2296-6
- EAN: 9781477222966
- Produktnummer: 13708924
- Verlag: Authorhouse UK
- Sprache: Swahili
- Erscheinungsjahr: 2012
- Seitenangabe: 406 S.
- Masse: H23.5 cm x B15.7 cm x D2.8 cm 789 g
- Abbildungen: HC gerader Rücken mit Schutzumschlag
- Gewicht: 789
2 weitere Werke von Enock Maregesi:
Bewertungen
Anmelden