Produktbild
Enock Maregesi

Kolonia Santita

Laana YA Panthera Tigrisi

Buch

'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi' ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, 'World Drugs Enforcement Commission' (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika,… Mehr

CHF 36.50

Preise inkl. MwSt. und Versandkosten (Portofrei ab CHF 40.00)

Versandfertig innerhalb 1-3 Werktagen

Produktdetails


  • ISBN: 978-1-4772-2295-9
  • EAN: 9781477222959
  • Produktnummer: 13708923
  • Verlag: Authorhouse UK
  • Sprache: Swahili
  • Erscheinungsjahr: 2012
  • Seitenangabe: 406 S.
  • Masse: H22.9 cm x B15.2 cm x D2.3 cm 621 g
  • Abbildungen: Paperback
  • Gewicht: 621

2 weitere Werke von Enock Maregesi:


Bewertungen


0 von 0 Bewertungen

Geben Sie eine Bewertung ab!

Teilen Sie Ihre Erfahrungen mit dem Produkt mit anderen Kunden.