Nukuu za Nyakati Zetu
Kitabu cha Falsafa za Enock Maregesi: Nukuu za Nyakati Zetu ni mkusanyiko wa nukuu za Enock Maregesi, kila nukuu kuu na maana yake, kila siku na nukuu yake kwa mwaka mzima. Ni mkusanyiko wa nukuu kuu 365 zenye kuleta hamasa na msukumo wa mafanikio katika maisha ya mtu.Lengo la kitabu hiki ni mtu kuwa na nukuu katika kila jambo katika kila hali katika kila kipengele cha maisha yake, kupata amani ya moyo na uhuru wa nafsi, kama msingi wa mafanikio, katika maendeleo ya maisha yake kwa ujumla wake. Ukitaka kujitambua katika maisha yako jijibu maswali yafuatayo: Wewe ni nani? Umetoka wapi? Kusudi la maisha yako ni nini hapa duniani? Kisha tengenez…
Mehr
CHF 35.90
Preise inkl. MwSt. und Versandkosten (Portofrei ab CHF 40.00)
V103:
Folgt in ca. 5 Arbeitstagen
Produktdetails
Weitere Autoren: Roy, Mathieu
- ISBN: 978-1-71679-898-6
- EAN: 9781716798986
- Produktnummer: 34751287
- Verlag: Lulu.com
- Sprache: Swahili
- Erscheinungsjahr: 2020
- Seitenangabe: 446 S.
- Masse: H21.0 cm x B14.8 cm x D2.6 cm 608 g
- Abbildungen: Paperback
- Gewicht: 608
2 weitere Werke von Enock Maregesi:
Bewertungen
Anmelden