Historia ya Kiziba na Wafalme Wake
Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu
Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba (aliyetawala 1903-1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya mabingwa wa simulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira. Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti huo yalipigwachapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya Kihaya ambach kilibaki bila kujulikana ingawa kilikuwa kitabu muhimu. Tafsiri hii m…
Mehr
CHF 65.00
Preise inkl. MwSt. und Versandkosten (Portofrei ab CHF 40.00)
V103:
Folgt in ca. 5 Arbeitstagen
Produktdetails
- ISBN: 978-9987-08-369-5
- EAN: 9789987083695
- Produktnummer: 34018958
- Verlag: Mkuki Na Nyota Publishers
- Sprache: Swahili
- Erscheinungsjahr: 2020
- Seitenangabe: 476 S.
- Masse: H22.9 cm x B15.2 cm x D2.5 cm 683 g
- Abbildungen: Paperback
- Gewicht: 683
16 weitere Werke von Peter R. (Hrsg.) Schmidt:
Bewertungen
Anmelden